Waziri wa afya Aden Duale abatisha mafunzo ya nyanjani ya wanafunzi 306

  • | Citizen TV
    224 views

    wanafunzi wa uuguzi wapatao 306 ambao hawakupata nafasi za kufanya mafunzo ya nyanjani kutokana na kile alichokitaja Waziri wa afya Aden Duale kama uvunjaji wa sheria wanaelezea masaibu yao.