Viongozi wa upinzani wapinga uagizaji wa mchele, wadai ni usaliti kwa wakulima

  • | Citizen TV
    595 views

    Hisia zimeendelea kuhusiana na hatua ya serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka mataifa ya nje. Viongozi wa Upinzani wameelezea upinzani wao kufuatia hatua hiyo wakisema ni usaliti kwa wakulima wa mpunga nchini. Aidha, viongozi wa maeneo yanayokuza mpunga wakiongozwa na gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru pia wamepinga hatua hii