Wakandarasi wa Tana River wasema kaunti haijawalipa madeni ya ksh.300m

  • | Citizen TV
    56 views

    Wanakandarasi kutoka kaunti ya Tana River wanashinikiza serikali ya kaunti hiyo kuwalipa pesa zao takriban shilingi milioni mia tatu za huduma walizotoa kwa kaunti hiyo