Shirika la KWS lakusanya maoni kuhusu ada za kuingia mbugani

  • | Citizen TV
    99 views

    Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS) linakusanya maoni kutoka kwa umma washikadau kuhusu marekebisho yaliyopendekezwa ya ada za kuingia katika mbuga mbalimbali