Kampuni ya Safaricom yajenga madarasa ya chekechea Migori

  • | Citizen TV
    40 views

    Kampuni ya mawasiliani ya Safaricom imekabidhi rasmi madarasa yaliyokarabatiwa chini ya mpango wa Shine Kenya kusaidia Maendeleo ya masomo katika Shule za chekechea (ECDE) katika Shule ya Msingi ya Kitere, Kaunti ya Migori