Miradi yakwama Samburu

  • | Citizen TV
    245 views

    Viongozi wa kaunti ya Samburu wameirai serikali,kutoa fedha zote kwa wanakandarasi ili kuwaezesha kukamilisha miradi mbalimbali wanayotekeleza, kama vile miradi ya ujenzi wa barabara ambayo wananchi wamekuwa wakikosoa kuwa inajikokota