Polisi huko Kikuyu wamemtia mbaroni mshukiwa

  • | Citizen TV
    1,092 views

    Maafisa wa polisi wamemnasa mshukiwa wa kuuza vileo haramu eneo la Kikuyu kaunti ya Kiambu na kupata mitungi kadhaa za pombe haramu pamoja na vifaa vya kutengenezea pombe hiyo.