shirika la KWS lakusanya maoni ya umma kuhusu ada

  • | Citizen TV
    36 views

    Shirika la huduma kwa wanyamapori kenya (kws) limeanzisha mikutano ya kushirikisha umma na wakazi wa meru pamoja na wadau kwenye sekta ya utalii kujadili mapendekezo ya kuongeza ada za kuingia katika hifadhi za taifa.