Wakazi watakiwa kushirikiana na walinzi wa Mbuga Kajiado

  • | Citizen TV
    149 views

    Wakazi wanaoishi karibu na sehemu zinazopakana na hifadhi za wanyapori kaunti ya Kajiado wametakiwa kushirikiana na walinzi wa wanyapori ili kupiga jeki juhudi zao za kuendeleza uhifahi wa wanyama hao.