Hatma ya wauguzi 306 yatatupwa baada ya wizara kusema hawakuhitimu

  • | NTV Video
    32 views

    Hatma ya wauguzi wanagenzi 306 iko ukingoni baada ya kufanya kazi hospitalini chini ya mpango wa mafunzo nyanjani kwa muda wa wiki 3 pekee kisha wizara ya afya ikawaita ghafla na kusema kuwa hawakuwa wamehitimu inavyohitajika .

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya