Muungano wa afya kuendesha mikakati ya amani

  • | Citizen TV
    855 views

    Jukumu la kuleta amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa litaendeleshwa na Muungano wa Afrika, AU. Rais William Ruto ambaye aliongoza mkutano wa Jumuia ya Afrika Mashariki, EAC, na ile ya mataifa ya Afrika Kusini, SADC, alitangaza kusitishwa rasmi kwa shughuli ya kuleta amani kupitia miungano hiyo miwili ambayo iliongozwa na rais mstaafu Uhuru Kenyatta na rais wa Angola João Manuel Lourenço, ili kuupa Muungano wa Afrika jukumu hilo rasmi