Wazazi na wanafunzi wachanganyikiwa kuhusu karo

  • | Citizen TV
    945 views

    Serikali inashikilia kuwa vyuo vikuu vyote vitatekeleza karo mpya huku mwongozo kamili wa jinsi wanafunzi watalipa karo ukisubiriwa kutolewa wiki ijayo. Haya ni huku wazazi na wanafunzi wakielezea wasiwasi wao kuhusu agizo jipya la wizara ya elimu kwani mtandao w akulipia karo haujabadilishwa