Wanawake Pokot Magharibi waunga mkono NACADA wakilalamika kuhusu athari za pombe

  • | NTV Video
    161 views

    Wanawake katika kaunti ya Pokot Magharibi wamejitokeza kuunga mkono mapendekezo ya mamlaka ya NACADA kuhusu unywaji na uuzaji pombe nchini huku wakizua malalamishi kuhusu kuvunjika kwa ndoa nyingi, talaka, waume walevi kukosa nguvu za kiume na kukosa kuajibika kutokana na unyaji pombe .

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya