Msafara wa M-PESA sokoni magharibi na Nyanza wakamilika

  • | Citizen TV
    244 views

    Msafara wa MPESA Sokoni unatamatisha ziara yake maeneo ya Magharibi na Nyanza hii leo kwa kuzuru maeneo kadhaa Kaunti ya Kisumu, baada ya kutembelea zaidi ya vituo 30 katika kipindi cha siku tano.Safaricom, kwa ushirikiano na Kampuni ya Royal Media Services, imeandaa sherehe hizi maalum kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA kote nchini