Shule ya St. Joseph's itakutana na musingu katika michezo ya mpira ya muhula wa pili

  • | Citizen TV
    201 views

    Timu ya soka ya shule ya upili ya st. Josephs, inayojulikana pia kama jobo, iliichapa agai 3-0 kwenye nusu fainali ya kwanza huku musingu, inayejulikana pia kama scorpions ikiwafunga mabingwa watetezi highway seconday school 3-2