Mtoto wa miaka saba mkali wa kukokotoa hesabu

  • | BBC Swahili
    3,712 views
    Kutana na mtoto wa miaka saba anayejulikana kama ‘kikokotoo cha binadamu’ Samiullah amepewa jina la utani "kikokotoo cha binadamu" kutokana na uwezo wake wa kufanya hesabu ngumu kwa kichwa tu. Samiullah amewastaajabisha watu wa eneo lake kwa kipaji hicho cha kipekee cha kufanya hesabu kwa haraka sana akitumia akili yake tu, bila kutumia karatasi wala kikokotoo. #bbcswahili #afghanstan #watotovipaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw