Siri ya biashara ya ngono kwa watoto

  • | BBC Swahili
    490 views
    Africa Eye imefichua jinsi watoto wanavyouzwa kwa ajili ya ngono katika mji wa Maai Mahiu nchini Kenya na inamfuatilia mwanamke mmoja, Baby Girl, anayewaokoa wasichana dhidi ya unyanyasaji na unyonyaji. - Baby Girl, ambaye amekuwa mfanyakazi wa ngono kwa miaka 40, amekuwa akisaidiwa na USAID ili kuilinda jamii yake na kusaidia kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI. - Kutazama makala hii kwa kurefu tembelea YouTube ya BBCSwahali - - - #bbcswahili #kenya #biasharayangono #wanawake #ngonokwawatoto #watato Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw