Huduma za matibabu Samburu

  • | Citizen TV
    106 views

    Wakazi wa kaunti ya Samburu bado wanalazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka matibabu, hali ambayo imeshinikiza idara ya afya kaunti hiyo kuanzisha mpango tamba wa matibabu kwa kuandaa kambi za muda za matibabu ili kuwahudumia wakazi mashinani wasio na uwezo wa kusaka matibabu hospitalini