James Barasa Mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu

  • | Citizen TV
    2,737 views

    Mwakilishi wadi wa chwele/kabuchai katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma James Barasa mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu katika hospitali moja mjini bungoma baada ya kuugua ugonjwa wa saratani