Vijana zaidi ya 500 wapewa mafunzo ya ujasiriamali

  • | Citizen TV
    162 views

    Vijana na wafanyabiashara zaidi ya 500 kutoka Kaunti ya Laikipia wamepata mafunzo muhimu yatakayowasaidia kuanzisha biashara zao bila kutegemea ajira za serikali