Rwanda yakubali kuwahifadhi wahamiaji 250 kutoka Marekani
Marekani na Rwanda zimekubaliana kuwa nchi hiyo ya Afrika itapokea hadi wahamiaji 250 waliofukuzwa kutoka Marekani, msemaji wa serikali ya Rwanda na afisa mmoja aliliambia shirika la Reuters, huku utawala wa Rais Donald Trump ukichukua mkondo mkali juu ya wahamiaji.
Ikulu ya White House na Wizara ya Mambo ya Nje haikutoa maoni mara moja huku Idara ya Usalama wa Taifa ikielekeza maswali yaulizwe kwa Wizara ya Mambo ya Nje.
Awali Rwanda ilikuwa na ushirikiano wa kuwapokea wahamiaji kutoka Uingereza uliosimamishwa na mahakama kuu ya Uingereza hata baada ya serikali ya nchi hiyo kuilipa Rwanda mamilioni ya pauni kuendeleza mpango huo.
Swali ni je, mpango huu utatekelezwa vipi? Na una tofauti gani na ule wa Uingereza? Rwanda na Marekani wanafaidika vipi?
@RoncliffeOdit anaangazia hili na mengine Mengi leo saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV, itakayokujia mubashara kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili.
#bbcswahili #marekani #rwanda
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
6 Aug 2025
- Kenya is ready to continue providing personnel and supplies.
6 Aug 2025
- NTSA had also warned against keeping unregistered vehicles.
6 Aug 2025
- There has been mixed public reaction to the new HELB funding model.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
6 Aug 2025
- The price of beef in China has trended downwards in recent years, with analysts blaming oversupply and a lack of demand as the world's second largest economy has slowed.
6 Aug 2025
- The charity Sentebale was at the centre of an explosive boardroom dispute in March and April when chairperson Sophie Chandauka publicly accused Harry, the youngest son of King Charles III, of "bullying".
6 Aug 2025
- According to the World Health Organisation, postpartum haemorrhage is diagnosed when a woman loses more than 500 millilitres of blood within 24 hours of a vaginal delivery; this is known as primary PPH.
6 Aug 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has warned his opposition co-principals against ditching the political outfit, saying that they will suffer dire isolation.
6 Aug 2025
- A Nairobi court has granted an application by the Director of Public Prosecutions (DPP) to detain a Ugandan woman extradited to Kenya over drug trafficking.
6 Aug 2025
- Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku has dismissed claims that President William Ruto intends to rig the next General Election, terming the allegations as baseless and politically motivated.
6 Aug 2025
- Kenya is ready to continue providing personnel and supplies.
6 Aug 2025
- A reprieve from a 50% U.S. tariff on goods from Lesotho has come too late to prevent damage to the tiny African kingdom's textiles industry, which has been hit hard by months of trade uncertainty.
6 Aug 2025
- NTSA had also warned against keeping unregistered vehicles.