Israel kuendelea kuishambulia Gaza hadi mateka waachiliwe, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,129 views
    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mkutano katika muda saa chache zijazo jijini New York kuzungumzia hatima ya mateka ambao bado wanashikiliwa Gaza, wakati shinikizo zikitolewa kusitishwa kwa mapigano ili kuondoa hali ya njaa na utapia mlo katika ukanda wa Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw