Lori lilikatika breki na kuwagongwa watu daraja mbili Kisii

  • | Citizen TV
    1,390 views

    Zaidi ya watu wanne wanadaiwa kuaga dunia mapema asubuhi ya leo eneo la Daraja Mbili mjini Kisii baada ya lori kukata breki na kuteremka kutoka katikati mwa mji wa Kisii hadi soko la daraja mbili na kuwajeruhi watu kadhaa