Je, ni kwanini Polepole amevuliwa hadhi ya ubalozi sasa?

  • | BBC Swahili
    25,450 views
    Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangazwa kuvuliwa rasmi hadhi ya ubalozi kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi wake na Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa hii inakuja ikiwa tayari ameshatuma barua ya kujiuzulu kwa kile alichokieleza kuwa "kufifia kwa maadili ya uongozi wa kitaifa." Je, ni mabalozi gani waliowahi kuvuliwa hadhi ya ubalozi kama Polepole? @sammyawami anatudadavulia kwa kina #bbcswahili #tanzania #uchaguzitz2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw