Nani atapeperusha bendera ya urais ya ACT?
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imetangaza majina mawili ya watakaowania nafasi ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu Tanzania.
Chama hicho kimewataja Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina.
Kwa upande wa Urais wa Zanzibar Halmashauri Kuu imependekeza jina la Ndugu Othman Masoud Othman ambaye ndiye mwanachama pekee aliyechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
Majina ya wagombea yaliyopendekezwa yamewasilishwa katika Mkutano Mkuu Taifa kwa ajili ya kupigiwa kura.
Ni Ipi hatima ya siasa za uchaguzi nchini Tanzania? @RoncliffeOdit anaangazia hili na mengine Mengi leo saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV, itakayokujia mubashara kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili.
#bbcswahili #tanzania #siasa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The new regulations aim to streamline gambling operations in the country.
7 Aug 2025
- The money will be sent through mobile money.
7 Aug 2025
- The county and national governments have 21 days to comply.
7 Aug 2025
- President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
7 Aug 2025
- President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- The new regulations aim to streamline gambling operations in the country.
7 Aug 2025
- The money will be sent through mobile money.
7 Aug 2025
- Security situation worsens in Haiti with 1,520 people killed over the last four months.
7 Aug 2025
- The county and national governments have 21 days to comply.
7 Aug 2025
- After several weeks of speculation over his whereabouts, Siaya Governor James Orengo has returned to the country.
7 Aug 2025
- Her response comes hours after IG Kanja also spoke on the matter.