IEBC yaahidi uwazi katika uchaguzi mkuu wa 2027, yakataa shinikizo la wanasiasa

  • | Citizen TV
    657 views

    TUME YA UCHAGUZI NA MIPAKA -IEBC- IMETOA HAKIKISHO KWA WAKENYA KUWA HAKUTAKUWA NA WIZI WA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027 LICHA YA MATAMSHI KUTOKA KWA BAADHI YA WANASIASA WANAOMUUNGA MKONO RAIS WILLIAM RUTO. MWENYEKITI WA IEBC ERASTUS ETHEKON ALIYEFANYA KIKAO NA WAHARIRI AMESEMA TUME HIYO ITAFUATA SHERIA KIKAMILIFU KATIKA UTEKELEZAJI WA WAJIBU WAKE NA HAWATAFUATA MAAGIZO KUTOKA KWA YEYOTE