Ruto aitetea hazina ya Hustler, akosoa ripoti ya KHRC kwa kutaka kuondolewa kwa hazina hiyo

  • | Citizen TV
    496 views

    RAIS WILLIAM RUTO AMETETEA HAZINA YA HUSTLER, AKISEMA MIKOPO HIYO IMEKUWA IKISAIDIA MAMILIONI YA WAKENYA KUANZISHA BIASHARA NA KUJIENDELEZA KIMAISHA. AIDHA RAIS RUTO AMEKOSOA RIPOTI YA TUME YA HAKI za BINADAMU KHRC, ILIYOPENDEKEZA HAZINA HIYO IFUTILIWE MBALI, AKISEMA TAYARI WAKENYA MILIONI 26 WAMEKOPA SHILINGI BILIONI 72