Benni McCarthy amuongeza Masoud Juma kwenye orodha ya majeruhi kabla ya mechi na Angola

  • | Citizen TV
    941 views

    KOCHA WA HARAMBEE STARS BENNI McCARTHY AMEMUONGEZA MASUD JUMA KWENYE ORODHA YA WACHEZAJI WENYE MAJERUHI KABLA YA MECHI YAO YA PILI YA KUNDI "A" DHIDI YA ANGOLA ALHAMISI USIKU. MASOUD ALIJERUHIWA KATIKA MECHI YA UFUNGUZI DHIDI YA DRC SIKU YA JUMAPILI