Gachagua: Kuna njama kubwa ya kugawanya upinzani

  • | K24 Video
    273 views

    Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua sasa anadai kuwa rais william ruto amezindua mkakati mpana na njama yenye ufadhili mkubwa ya kugawanya upinzani, akianzia eneo lenye wapiga kura wengi la mlima kenya.