IEBC yaahidi uchaguzi huru, watangaza mabadiliko ya utambulisho kwa wapiga kura

  • | K24 Video
    23 views

    Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC sasa inasema chaguzi zote ndogo zitafanyika kabla ya mwisho wa mwaka huu, ikithibitisha kuwa ratiba ya chaguzi hizo itatolewa wiki moja kuanzia sasa.