Kiongozi wa wengi wa bunge la kaunti ya Mombasa atimuliwa

  • | KBC Video
    56 views

    Wawakilishi wadi katika kaunti ya Mombasa wamemtimua kiongozi wa wengi Athman Mwamwiri, kwa madai ya kutekeleza majukumu yake kupitia ushawishi wa gavana Abdulswamad Nassir. Kutimuliwa kwake kumejiri baada ya gavana Nassir kukataa kwa mara ya pili kuidhinisha mswada wa usawazishaji huku wawakilishi wadi wakisema kiongozi wa wengi amekosa kuchukua hatua zozote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive