Ushuru wa Trump waanza kutekelezwa
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani imeanza kupokea mabilioni ya pesa wakati ambapo ada mpya za kutuma bidhaa Marekani zimeanza kutekelezwa.
Zaidi ya mataifa 90 kote duniani yataathirika na ushuru huo. Dakika chache kabla ya saa sita usiku, Trump aliandikaa kwenye mtandao wake wa kijamii kwamba mabilioni ya dola yalikuwa yameshaanza kuingia Marekani .
Mataifa matano ya Afrika Lesotho , Afrika kusini , Nigeria, zambia na Zimbabwe yameathirika.
Afrika kusini sasa itatozwa ushuru wa asilimia 30 kwa bidhaa wanazotuma Marekani. Serikali ya Pretoria inasema itaendelea na biashara na Washington licha ya hali hiyo.
Je hii itaaathiri vipi uchumi wa mataifa husika?
@RoncliffeOdit anaangazia hili na mengine Mengi leo saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV, itakayokujia mubashara kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili.
#bbcswahili #marekani #ushuru
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The new changes will be implemented immediately.
7 Aug 2025
- The attack occurred in the wee hours of Wednesday morning.
7 Aug 2025
- The bus was carrying company employees getting off their shift.
7 Aug 2025
- Former Chief Justice and presidential hopeful David Maraga has called for the resignation of all public officials involved in irregularities flagged by the Auditor General's audit report that exposed billions in unaccounted funds on the eCitizen platform.
7 Aug 2025
- The government now says no money was lost on the eCitizen platform, explaining that accounting systems after the contractual agreements with the system vendors sealed all the loopholes for corruption in the platform.
7 Aug 2025
- National and county government hospitals will now benefit from a new medical equipment initiative that will provide modern health machines.
7 Aug 2025
- The ODPP has reacted to a recently aired documentary by the BBC, titled ‘Madam: Exposing Kenya's Child Sex Trade’, which highlights alleged cases of sexual trafficking and exploitation of minors in Maai Mahiu, Nakuru County.
7 Aug 2025
- The Social Health Authority (SHA) has spent over Ksh.56 billion in the past ten months to promote Universal Health Coverage (UHC) across the country.
7 Aug 2025
- As Galana Energies continues to celebrate its 25 years as a Kenyan owned and led oil marketing company, the firm is proud to commemorate the milestone and continue giving back to the community in a meaningful manner.
7 Aug 2025
- The company says its primary focus remains supporting those affected.
7 Aug 2025
- The judge said the MP's petition raises sufficient constitutional and legal issues.
7 Aug 2025
- The latest haul of approximately 243 kilograms was seized on Thursday in Bungoma.
7 Aug 2025
- What respondents said in a survey