Mshukiwa wa wizi wa simu akamata katika eneo la Kikuyu

  • | NTV Video
    1,068 views

    Maafisa wa polisi huko Kikuyu kaunti ya Kiambu, hivi leo wamenasa zaidi ya simu za rununu 68, televisheni, kamera miongoni mwa vifaa vingine vya dhamana ya juu vya kielekitroniki katika jumba moja eneo la Kikuyu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya