Maadhimisho ya miaka 18 ya MPESA yafikia Kayole, Mwiki na Githurai

  • | Citizen TV
    256 views

    Msafara wa MPESA Sokoni unakaribia kufikia tamati, hii leo sherehe za maadhimisho ya miaka 18 ya mafanikio ya huduma za MPESA nchini, zikichacha katika mitaa ya Kayole, Mwiki na Githurai. Kampuni ya Safaricom, imeshirikiana na Royal Media Services, kuandaa msururu huu kwa siku 30 mfululizo, kwa lengo la kuwashukuru na kuungana na wateja wake mashinani.