Serikali yazindua mfumo mpya wa huduma za afya

  • | Citizen TV
    482 views

    RAIS WILLIAM RUTO AMEZINDUA RASMI MRADI MPYA WA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA MATIBABU KWA HOSPITALI ZOTE ZA SERIKALI KUU NA ZILE ZA KAUNTI, ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 200, KWA KIPINDI CHA MIAKA SABA, ILI KUZIBA UPUNGUFU MKUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA. KUPITIA MRADI HUO, TOFAUTI NA MFUMO WA AWALI, SERIKALI HAITANUNUA MASHINE HIZO BALI ITALIPA TU KWA HUDUMA HALISI ZITAKAZOTOLEWA, HUKU JUKUMU LA KUHAKIKISHA UTENDAKAZI WA MASHINE LIKIBAKI KWA WAMILIKI WAKE.