Gachagua amlaumu Rais Ruto kuhusu uchunguzi wa NATO

  • | Citizen TV
    1,588 views

    ALIYEKUWA NAIBU RAIS, RIGATHI GACHAGUA, ANAMLAUMU RAIS WILLIAM RUTO KWA KUTUMIA UHUSIANO KATI YA KENYA NA CHINA KAMA KISINGIZIO KUFUATIA UCHUNGUZI UNAOENDELEA KUHUSU HADHI YA KENYA KAMA MSHIRIKA AMBAYE SI MWANACHAMA WA NATO. SASA ANAMTAKA RAIS KUKABILIANA MOJA KWA MOJA NA MASUALA YA UTAWALA, IKIWEMO MADAI YA UKIUKAJI WA HAKI ZA BINADAMU YALIYOTOLEWA NA SERIKALI YA MAREKANI