Hazina Yapinga Madai ya Upotevu wa Fedha

  • | K24 Video
    20 views

    Katibu mkuu wa hazina ya kitaifa Dkt Chris Kiptoo amekana madai ya mdhibiti wa usimamizi wa fedha za umma kwamba mamilioni ya fedha ilipotea kwa njia isiyoeleweka katika mtandao wa ecitizen. Wizara ya fedha sasa inasema kwamba kwa miaka miwili iliyopita hakuna hata ndururu iliyopotea.