Wizara ya Utalii na wanyama pori yatia saini mkataba na FKF ili kuinua utalii ndani na nje ya nchi

  • | NTV Video
    40 views

    Wizara ya Utalii na wanyama pori kupitia kwa KTB imetia saini mkataba wa miezi sita na shirikisho la kandanda humu nchini FKF ili kuinua utalii ndani na nje ya nchi. Mkataba huo ni wa thamani ya shilingi milioni 15.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya