Mabilionea 4 wa Afrika ambao utajiri wao unazidi utajiri wa nusu ya bara

  • | BBC Swahili
    6,082 views
    Mabilionea wanne wa Kiafrika pekee wana wastani wa utajiri wa dola bilioni 57.4, zaidi ya utajiri wa jumla wa Waafrika milioni 750 au nusu ya idadi ya watu wa bara hilo. Hii huenda ikaonekana kuwa jambo la kushangaza, lakini ni ukweli uliowekwa wazi na ripoti iliyochapishwa na shirika la Oxfam 2025. Laillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #afrikia #mabiloneaafrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw