Apata ulemavu baada ya kupigwa risasi na Polisi katika maandamano Kenya

  • | BBC Swahili
    1,259 views
    Wakati wa maandamano ya Gen Z ya Kenya mwaka 2024, Brian Mwangi Wangare, mfanyakazi wa kawaida, alipigwa risasi na polisi ingawa hakuwa katika maandamano hayo. Risasi imemsababishia ulemavu kutoka kifuani hadi chini. Mwaka mmoja sasa, Brian na familia yake bado wanaendelea kupigania haki huku wakikumbwa na changamoto za kupata huduma za afya na kujaribu kujenga maisha yake upya. #bbcswahili #kenya #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw