'Nchi nne kati ya tano'hutumia maji kutoka baharini

  • | BBC Swahili
    3,376 views
    Kusafisha maji ya bahari kwa ajili ya matumizi kulikuwa kukifanyika katika maeneo machache tu. Wakati maeneo mengi sasa yakikabiliwa na uhaba wa maji, idadi ya mitambo ya kuondoa chumvi imeongezeka karibu mara mbili duniani ikilinganishwa na muongo mmoja uliopita. Baadhi ya nchi tayari zinapata zaidi ya 80% ya maji kutokana na mchakato huu. @masingaliz anaenelezea #bbcswahili #mabadilikotabianchi #bahari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw