Kijiji cha Kotombo chaomboleza vifo vya 26 wa ajali ya barabarani

  • | Citizen TV
    1,042 views

    Kijiji cha Kotombo kaunti ya Kisumu kimeanza mipango ya mazishi baada ya watu 26 kufariki kufuatia ajali ya barabarani ijumaa iliyopita. Huku waliofariki wakitarajiwa kuzikwa jumamosi ijayo, Familia hizi zimesalia kwenye msiba ambao wengi wameutaja kuathiri jamaa waliohusiana. Kati ya waliofariki ni viongozi wa makanisa waliokuwa kwenye msafara kabla ya ajali