Maafa barabarani: Harusi yageuka mazishi, vifo vyatanda nchini

  • | Citizen TV
    9,468 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali za barabarani hii leo imefikia watu 60, baada ya watu kumi zaidi kufariki kaunti za makueni, nakuru na tana river. Mojawapo ya maafa yakishuhudiwa baada ya familia iliyokuwa imehudhuria hafla ya mahari kuhusika kwenye ajali hiyo barabara ya kitui - Kibwezi.