Kongamano la ugatuzi Homabay

  • | Citizen TV
    292 views

    Matayarisho ya kongamano la ugatuzi linalotarajiwa kuanza jumanne hii kaunti ya Homa Bay yameshika kasi, huku wajumbe wakiendelea kufika kaunti hiyo