Huenda uwanja wa Kip Keino Kapsabet ukasahauliwa

  • | Citizen TV
    523 views

    Huenda uwanja wa Kipchoge Keino ulioko mjini Kapsabet ukasalia tu kwenye daftari za kumbukumbu, baada ya ujenzi wa soko la kisasa kuanza rasmi ndani ya uwanja huo.