Mzee wa miaka 90 Migori aishi pangoni miaka 30 | Ajitengenezea kaburi

  • | Citizen TV
    5,403 views

    KWA KAWAIDA BINADAMU HUISHI MAKAZI YA HADHI KWA KIASI FULANI. ILA KWA MZEE MOJA KAUNTI YA MIGORI, UAMUZI WAKE WA KUJENGA MAKAO NA KUISHI KWENYE TIMBO LIMEWASHANGAZA WENGI HASWA WAnakijiji wa NYAMILU . JOHNSON NYAGANA, MWENYE MIAKA 90 AMEISHI SEHEMU HIYO KWA ZAIDI YA MIAKA 30 HUKU AKIJITENGEA HATA KABURI ATAKAKOZIKWA