Familia nne Kangema zaliwazwa na kutoweka kwa wapendwa wao

  • | Citizen TV
    574 views

    FAMILIA NNE KUTOKA ENEO LA TUTHU, KANGEMA, KAUNTI YA MURANG'A ZINAISHI KWA HUZUNI, MIEZI KADHAA BAADA YA WAPENDWA WAO WANNE KUTOWEKA KWA NJIA ISIYOELEWEKA. FAMILIA HIZO ZINASEMA ZIMEKUWA ZIKIWATAFUTA WANNE HAO KATIKA HOSPITALI TOFAUTI NA HATA KUTEMBELEA MOCHARI JIJINI NAIROBI, LAKINI HAKUNA MAELEZO KUHUSU WALIKO