Homa Bay yakaribisha wajumbe 30,000 kwa kongamano la ugatuzi

  • | Citizen TV
    1,182 views

    Kila kitu ki tayari huku wajumbe zaidi ya elfu 30 wakitarajiwa kuhudhuria kongamano la ugatuzi la mwaka huu linalofanyika kaunti ya Homa Bay. Gavana mwenyeji wa Homa Bay Gladys Wanga akiwahakikishia wajumbe kuwa usalama na mipangilio mingine imeimarishwa kuwapa nafasi bora wanapokuwa kaunti hiyo