Polisi Kilifi wachunguza vifo vipya vinavyohusishwa na dini potovu karibu na Shakahola

  • | Citizen TV
    262 views

    POLISI KAUNTI YA KILIFI WANACHUNGUZA UWEZEKANO wa VIFO VINGINE VINAVYOHUSIKA NA DINI POTOVU KATIKA ENEO LA KWA BINZARO KARIBU NA MSITU WA SHAKAHOLA