Kiprop na Chepkurui washinda nusu marathon ya Uasin Gishu 2025

  • | Citizen TV
    104 views

    ROBERT KIPROP NA GLADYS CHEPKURUI NDIO MABINGWA WA NUSU MARATHON YA UASIN GISHU MWAKA WA 2025, KUFUATIA MBIO ZILIZOFANYIKA ELDORET JUMAPILI, AGOSTI 10, 2025.